Mikopo



Mkopo wa Maendeleo

Aina hii ya mkopo Inaanzia Tsh. 2,000,000/= hadi Tshs. 30,000,000/= Riba 1.5% njia punguzo. Marejesho ni kuanzia mwaka mmoja hadi mitatu.

Mkopo wa dharura

Mkopo huu ni kiasi kisichozidi Tsh 3,000,000/= Riba ni 1.5% njia ya riba punguzo. Marejesho ni miezi sita.

Mkopo wa Elimu

Kiasi kinaanzia Millioni Mbili (2,000,000). Riba 1.5% njia ya riba punguzo. Muda marejesho ni miaka miwili.

about-image
Mawasiliano

Wasiliana nasi kwa maelezo zaidi

Barua Pepe : info@uwsasaccos.co.tz
Namba za Simu : 0762689437,   0677052800